Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaume wengine wana roho korofi aisee. Huyu lengo lake lilikuwa nini? Hata kama kuna kitu alikikuta ambacho hakufurahia si angalau angesema? What goes around comes around. Huwezi kumfanyia hivi mtu halafu ujidanganye eti huko ulikoenda utaishi maisha ya amani tu. No way...
 
Aisee...
 
[emoji106][emoji106]
 
Labda aliomba p akanyimwa akaona gia ya ndoa itasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…