Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ronaldo na Messi wanaingia katika orodha ya mastaa wengi ambao nusura waichezee Arsenal katika utawala wa kocha huyo anayeondoka England ambaye kwa kiasi kikubwa alikuwa anajulikana kwa tabia ya ubahili na kupenda kukuza wachezaji wasio na majina makubwa.