Maneno yao ni matamu lakini midomo yao inanuka
Kweli..Kama umevutiwa na asali jiandae kukwepa nyuki
[emoji106][emoji106][emoji106]Usihofie kupitwa ilimradi muda haukuachi
Yah!Kweli..
Mh!Ogopa kuoa haraka kama unaogopa talaka
Mimi naona kinanipwaya[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]I love you so much [emoji175][emoji178]....
..............
[emoji115][emoji115] Hicho ni kiatu yeyote atakaeona kinamtosha na akivae