Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni jambo jema
 
Adeba...

Okraman...

Nyimbo zake bora kwangu
hahaa...mimi nilishashau hata nyimbo zake nakumbuka jina lake tu ..ila namuelewa sana..

oliva ngoma
JudDy Boucher
yondo sister
gatho
Monica seka
Yvonne chaka chaka ""
soukus stars ...daahh huwa wananitoaga machozi ya furaha napozisikiliza nyimbo zao ..huwa zanikumbusha mbali mnooo
 
Hahah!!

Monica anasauti nzuri sana yule mama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakugawa ushanshinda tabia kwakweli.
Those were the happy days kwenye huu uzi,jamaa alibet avatar saiz niko mwakaleli navuna maparachichi na mzee mwenzangu[emoji23][emoji23][emoji23]

Nasubiri aweke ya pipilii mimi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…