Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shimba huyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shimba anadandia mahari eeeh!?

Shimba huwa anadai mahari kwa dada zake tu akina bageshi. Kwa wengine hawa ukiona ni mbwembwe tu..

Na kwa rekodi nimeshadai mahari kwa dada zangu wawili tu:

Nsamaka (Mwakalaleli alilipa nusu 15 akatupiga)

Baby S (Mpare bahili kagoma kutoa anataka eti tukachukue bata wakati ng'ombe anao)

Sammy Luv (nilikuwa kwenye mikakati ya kudai ila KK akachomoa dada akahamia kwa QUIGLEY napo wakakorofishana dada akapotea kabla hatujapewa anything)

Iceman 3D kwa Carba abebe tu mi sitadai cho chote kwa sababu sihusiki kwa namna yo yote. Mniacheeee [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Koromije bana[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…