Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tangu lini mi nikawa shabiki wa mpira? Nakuona unanipiga nyundo za uhakika na vimafumbo vyako. Siyo vizuri hivyo jirani...

Halafu uzi huu huwezi kujua who is who kila mtu mbea tu wanaume included. Wakati mwingine unasoma umbea inabidi ujiridhishe kuangalia ID kwanza ili kuhakikisha...
Jirani Mimi naangalia(nahesabu) waoaji..
Wewe unatoa nasaha ila waoaji hawapo....
 
Nilikuwa kwenye misa ya maombolezo. Mchungaji wetu mmoja kafariki kwenye ajali ya gari Jumatatu usiku. Maisha yetu haya yaani hatujui siku wala saa. So sad yaani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tunatembea na kifo kila siku,hatujui siku wala saa,lini ama wapi.
Mungu ampumzishe kwa amani[emoji120][emoji120][emoji120]poleni
 
I michi yuu[emoji24][emoji24][emoji24]
tapatalk_1526312957122.jpeg
 
Back
Top Bottom