Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852736643_221660.jpg
 
Niambie binti yangu mzuri, mpole, uliye jaa upendo, mtoto mwenye damu ya kinyaki, mwenye rangi ya mng'aro na sauti ya kuvuma...
Carba tiba ya andjul[emoji382] [emoji382] [emoji381] [emoji381]
Una kipaji cha uandishi. Ukitaka namba ya Shigongo sema nikupasie...

Kwema lakini ndugu yangu. Umesharudi au mpaka kesho?
 
Niambie binti yangu mzuri, mpole, uliye jaa upendo, mtoto mwenye damu ya kinyaki, mwenye rangi ya mng'aro na sauti ya kuvuma...
Carba tiba ya andjul[emoji382] [emoji382] [emoji381] [emoji381]
Haya maneno yako tu mimi hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekukumbuka tu mimi,nikasema leo ikipita bila kukuona kesho naenda sentro kulipoti kupotea kwako.

Mzima lakini?
 
Back
Top Bottom