carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gaaaiiiiiiii
Siku ikifika, hakuna ujanja. Mungu amuweke mahali pemaKapata ajali anatoka kuhubiri halafu. Mwenzake hata mchubuko hakuna yeye nyang'anyang'a. Yote kwa yote Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwenye uzi huu uliojaa umbea hata ukikaa kimya haisaidii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sorry bro kama nimeingilia nisipopaswa...[emoji16][emoji16][emoji16]
Haya jirani..ila nilisoma ukiomba kuwa karibu na kamati ya vinywaji..labda nilisahau mawani!Ni umbea...
Kwenye uzi huu uliojaa umbea hata ukikaa kimya haisaidii.
[emoji23]Karibu tena chamani, Ila unatakiwa uwe na moyo wa chuma kuisimamia itikadi yako. Vinginevyo lazima tu utamtupia lawama shetani! [emoji1][emoji1]
Umbea ni sehemu ya burudani...
Sijui kwanini kukasirika....
Umbea ni sehemu ya burudani...
Sijui kwanini kukasirika....
Kama hii ni sehemu ya burudani na kupeana likes..
Furaha ni jambo la kwanza