carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mwanaume kujiamini[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sjui ata
Mwanaume kujiamini[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sjui ata
Owk! Relax shiro, everything is okNdio kasmart
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Gathooo sijapenda matheeUnakomaaa tu maa utafanyaje na ushapenda[emoji23][emoji23][emoji23]wakikuita hivyo najitolea kuja kukutetea,ila maza hausi naye ni beshte angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Best albumPunch za hatari
Nataka kujiunga CHACHAWA once and for all. Drama za uzi huu zimenishinda poti. Nilirudisha kadi kwa hasira tu. I need my card back [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
AiseeeHapo sasa [emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bas tuendelee ku injoi maisha bila kelele
Kuku mgeni hakosi kamba mguuni. Uzi huu ukiwa creative ukautungia kitabu unaweza kuuza sana...Ulichelewa bro...Aiseee!
Hichi kitu kilishawahi kutokea humu au hiyo ni photoshop?
Salama kabisa..Sijambo jirani,habari ya wewe
Anafanana na GF wake Mike assistant wa Daby the suit, hivi ni yeye ama?Damu nyeusi laivu kwenye royo famili...Wanasema malkia wamwangalie sana asije kufa kwa kihoro. Wabaguzi wale...
Ai wili bi baki[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Jizazi....
Mzinduaji itabidi ajipange kwa sababu atakachokipata hatakaa asahau [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Gathooo sijapenda mathee
Daaaaah!!Kumzindua mtu humu ni denja kwa sababu ukifanya hivyo watu ndo wanaanza sasa kujiuliza huyo aliyezinduliwa ana nini hasa? Maza hausi ni vere femazi hapa JF na jamaa wengi walishafungua masredi kumlilia. Sasa bro katokea from nowhere akazinduliwa na kuwapiku wote. Lazima mabinti watamsumbua ili nao waone kitu alichonacho na kilichosababisha azinduliwe.
Mabinti, acheni hii tabia ya kutamba na kuzindua watu humu. Nobody cares and you attract unnecessary attention to your bae. Ndiyo maana mimi nilishasema wazi. Ikitokea mtu akanizindua laivu hapa siku hiyo hiyo namlima talaka hapa hapa dadeki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 781269
Ngoja nikapange mikakatiKaribu tena chamani, Ila unatakiwa uwe na moyo wa chuma kuisimamia itikadi yako. Vinginevyo lazima tu utamtupia lawama shetani! [emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani davet na lesista bhana,nikikumbuka maza hausi ni bestie tunakuwaga wote kwenye ubuyu na kule kwenye mastori halafu leo hii ndo hivi naona tunavyotimuliwa kwenye mastori kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]i kanti hendo zisi
Kiss tayari lishakuwa aikoniki. Hii dunia hii bana we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikapike ftari mie[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja abet penzi lenu ndo utaelewa