Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Braza kumbe ulikabidhiwa kabisa?Mkuu unaniangusha. Jana tu nimekabidhiwa rasmi jukumu la kukuangalia angalia na nikakueleza kabisa leo hii unatangaza unatafuta mvaaji wa viatu. Unataka nifanyeje sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 781256