Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Elisha%2020180519_093433.jpg
 
MADEMU wa kizungu mkifika chumbani anakukumbatia anakubusu huku anatoa miguno na kuongea kwa mapozi...anahema kwa hisia tarativu anaingiza mkono ndani ya suruali kuicheck dushelele anakuvua shati anakubusu kifuani na kukuambia babie I love uuuuum proud of you honey...
Taratibu anavua nguo zake na ww anakuvua zako kwa mapozi hadi raha mwisho kazi inafanyika mkishamaliza akakuambia babie thank u u'r so sweetie .....

SASA NJOO SASA BONGO
%90 WAKO HIVI
likishafika mkiwa chumbani ile unataka uanze kumuandaa unaskia ahaaaaaa we tulia kwanza mbona unaharaka kama cha kwanza????

Kwanza nipe HELA yangu ya bajaji halafu naskia njaa niagizie chips kuku nusu na mishikaki na coca baridi. ..

Akimaliza ukitaka kuanza unaskia ngoja kidogo chakula kishuke banaaa

Ukianza unaskia linakuambia halafu tusikae sana nisichelewe kwetu si unajua leo zamu yangu kupika?
Ukiwa unamuandaa unampapasa unaskia bana niniukoo linacheka eti unanitekenya.....

Ukute sasa nguo ya ndani imechakaa utasikia fumba macho usinichungulie........ukifumba tu kanavuliwa kisha kanatupwa chini ya uvungu kama kitanda kina uvungu ila kama hakina halafu kimebanwa ukutana basi katachomekwa kwenye godoro kisha zoezi linaanza

Ukimaliza mkiwa mmepumzika utaskia linakuuliza hapa ndio unaletaga mademu zakoeee......ukiliambia hapana unaskia ulipajuaje???

Mara babie halafu naomba elfu 20 ya kikoba halafu pia nina shida na elfu 50 niliazima kwa rafiki yangu ananidai. ....Mara mafuta yangu na cream vmeniishia Dah hapo ndio kabisaaaaa dushelele inalala steam zinakata....

Ukimaliza ndio mnataka kuondoka unaskia NIPE NAULI ukilipa buku tano utaskia hii inatosha nn sasa????

Ikikugusa njoo kusanya mapovu kasafishe chooni leo ni siku ya usafi
 
Back
Top Bottom