omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
Mchango wako nimeupokea vyema, ahsanteh sana bro.Utanashati na urembo yes vina nafasi yake (au niseme havina hasara katika mapenzi). Binti msafi mrembo anayejipenda bila shaka anavutia zaidi kuliko aliye shaghalabaghala (and vice versa)..