carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Majukumu jirani ila nipoSalama kabisa..
Jirani umekua adimu mno...
Majukumu jirani ila nipoSalama kabisa..
Jirani umekua adimu mno...
Ngoja nikapange mikakati
Sawa jiraniMajukumu jirani ila nipo
Bro broUtanashati na urembo yes vina nafasi yake (au niseme havina hasara katika mapenzi). Binti msafi mrembo anayejipenda bila shaka anavutia zaidi kuliko aliye shaghalabaghala (and vice versa)..
Kausha bhana[emoji23][emoji23][emoji23]acha agundue mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan mi mwenyewe najaribu kupima lakini upendo wangu kwa maza hausi una nifanya nisivumilie.
Napata wakati ngumu
Nimeumia sana pale bro [emoji1]Leo mashambulio tu
Unamtetea eeeh!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me sijui shem[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nicheke kwanza nitarudi badae.....
Eti kuzinduliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooiiiiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Unamtetea eeeh!?
Nitamwaga ubuyu mimi ohooo !!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Iceman 3D atatoa mahari kweli huyu? Sidhani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mara ya kwanza ndo namuona jirani akitimua mbio. Ila subiria tumisemo kiaina huko mbele ya safari kuhusu hii ishu. Huwa hasahaugi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiraniiiiiiii
Tu letiTUPUNGUZE UMBEA bro. Tukaushe tu. Au unasemaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nataka kujiunga CHACHAWA once and for all. Drama za uzi huu zimenishinda poti. Nilirudisha kadi kwa hasira tu. I need my card back [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
That's my broUnavyomwelezea binti wa Kibongo utafikiri limnyama na umetumia ngeli kuzaji ya ji/ma...Wala haipendezi japo najua nawe umeikopi mahali. We shouldn't be bashing our dear sisters OK?
Usiombe SYB adai mahari[emoji23][emoji23][emoji23]utaomba poo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa Carba ntatoa
Au mntanikomoa?