carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfyuuuuu zako wewe na cinderela wako[emoji23][emoji23][emoji23] nazidi kuamini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfyuuuuu zako wewe na cinderela wako[emoji23][emoji23][emoji23] nazidi kuamini
He! Kumbe umeniona. Hujambo jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiraniiiiiiii
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Usinifanyie hivyo bhana[emoji17][emoji17][emoji17]
Iceman 3D atatoa mahari kweli huyu? Sidhani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuona tu unanyemelea mahari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nicheke kwanza nitarudi badae.....Huyu pipileee ataleta msala humu davet si alishazinduliwa jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]haya bhanaHako ni kawimbo walikuwa wanakaimba kule Kwa Royal Wedding. Kingekuwa kiatu kisingepata mvaaji, ni katambuga hicho! [emoji23][emoji23] Nimekumisimo pia! Nafurahi kukuona.
ukisikiliza hii ngoma inakufanya uzidi kupenda mabinti wa kike(watt wa kike) [emoji120] [emoji120][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeMbona unamaswali ya ajabu lakin?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu mzima wewe jiongeze bhana
[emoji23][emoji23][emoji23]hapana! nataja listi ya Wanawake Ambao Wengi wao wana mvuto sana.Unataja listi yako bro ama?
AiseeeMimi.na wewe
[emoji124]
Photoshop hiyo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Aiseee!
Hichi kitu kilishawahi kutokea humu au hiyo ni photoshop?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja uzinduliwe ukishatoa talaka ndo ukajiunge CHACHAWA[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nataka kujiunga CHACHAWA once and for all. Drama za uzi huu zimenishinda poti. Nilirudisha kadi kwa hasira tu. I need my card back [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani unaahindana na nani??[emoji125][emoji125][emoji125]
Too late bro. Umenitia katika wakati mgumu sana hasa ukizingatia kuwa ni jana tu nimekabidhiwa sime na marungu kwa ajili ya ulinzi. Na nikakwambia kabisa. Unataka mi nifanyeje sasa?Mkuu utakayo yaona naomba tu uyaangalie bila kutoa kauli yoyote ile labda ucheke kwa emoj itatosha kabisa
Sijambo jirani,habari ya weweHe! Kumbe umeniona. Hujambo jirani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Acha kunitega basi[emoji124][emoji124][emoji124]
class mate nini?[emoji23][emoji23][emoji23]Tuntufe mwakanyasa
OMG..Halafu jana tu nilijipa jukumu la kumuangalizia maza hausi. Whati du ai du nao? Mimi nami duh !!!
View attachment 781266
Mjanjamjanja huyo, kunako mahari labda awepo wakili..Iceman 3D atatoa mahari kweli huyu? Sidhani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jizazi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja uzinduliwe ukishatoa talaka ndo ukajiunge CHACHAWA[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]