Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Najua na wewe unaelewa ila makusidi tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua umeelewa basi tu
[emoji23] [emoji29]
Najua na wewe unaelewa ila makusidi tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua umeelewa basi tu
Haya. Unafikiri angekuwa hajazinduliwa kuna mtu angesumbuka naye? Tangu azinduliwe kila anakokwenda ni kama selebriti fulani hivi. Hata mtaani ni hivyo hivyo. Ukiwa singo hakuna anayekujali. Anza kudeti mtu sasa hata mabinti waliokuwa hawakusalimii pale mtaani wanaanza kujilengesha....Hamna bro
Kuzindua kunatoa taarifa kwa wengine kuwa wasiguse
Mzinduaji na mzindukiwaji must responsible for their own deeds.
[emoji23]
Ushapigwa changa la macho buda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] buda
Mimi ndo kasmart mwenyew bhna, yule aloyce causin wake na shiro
Najitahid broYes [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Go for it bro....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wa kishuaKina Numby watoto wa kishua
Wanangalia royo weding'i laivu eti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiri uzinduliwe tu nianze kufanya yangu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 781279
Nakuona tu unanyemelea mahari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Go for it bro....
[emoji23][emoji23][emoji23]MADEMU wa kizungu mkifika chumbani anakukumbatia anakubusu huku anatoa miguno na kuongea kwa mapozi...anahema kwa hisia tarativu anaingiza mkono ndani ya suruali kuicheck dushelele anakuvua shati anakubusu kifuani na kukuambia babie I love uuuuum proud of you honey...
Taratibu anavua nguo zake na ww anakuvua zako kwa mapozi hadi raha mwisho kazi inafanyika mkishamaliza akakuambia babie thank u u'r so sweetie .....
SASA NJOO SASA BONGO
%90 WAKO HIVI
likishafika mkiwa chumbani ile unataka uanze kumuandaa unaskia ahaaaaaa we tulia kwanza mbona unaharaka kama cha kwanza????
Kwanza nipe HELA yangu ya bajaji halafu naskia njaa niagizie chips kuku nusu na mishikaki na coca baridi. ..
Akimaliza ukitaka kuanza unaskia ngoja kidogo chakula kishuke banaaa
Ukianza unaskia linakuambia halafu tusikae sana nisichelewe kwetu si unajua leo zamu yangu kupika?
Ukiwa unamuandaa unampapasa unaskia bana niniukoo linacheka eti unanitekenya.....
Ukute sasa nguo ya ndani imechakaa utasikia fumba macho usinichungulie........ukifumba tu kanavuliwa kisha kanatupwa chini ya uvungu kama kitanda kina uvungu ila kama hakina halafu kimebanwa ukutana basi katachomekwa kwenye godoro kisha zoezi linaanza
Ukimaliza mkiwa mmepumzika utaskia linakuuliza hapa ndio unaletaga mademu zakoeee......ukiliambia hapana unaskia ulipajuaje???
Mara babie halafu naomba elfu 20 ya kikoba halafu pia nina shida na elfu 50 niliazima kwa rafiki yangu ananidai. ....Mara mafuta yangu na cream vmeniishia Dah hapo ndio kabisaaaaa dushelele inalala steam zinakata....
Ukimaliza ndio mnataka kuondoka unaskia NIPE NAULI ukilipa buku tano utaskia hii inatosha nn sasa????
Ikikugusa njoo kusanya mapovu kasafishe chooni leo ni siku ya usafi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ayaaa kizuri kula na mwenzio bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha kitu,akiiiiii
Ubarikiwe kwa kunikumbusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya. Unafikiri angekuwa hajazinduliwa kuna mtu angesumbuka naye? Tangu azinduliwe kila anakokwenda ni kama selebriti fulani hivi. Hata mtaani ni hivyo hivyo. Ukiwa singo hakuna anayekujali. Anza kudeti mtu sasa hata mabinti waliokuwa hawakusalimii pale mtaani wanaanza kujilengesha....
Aliyenacho huongezewa bro....