Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Stand by me! [emoji124][emoji124]
Si wenzao tuliangalia ya Ali Kiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wa kishua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]the prince is backMkuu utakayo yaona naomba tu uyaangalie bila kutoa kauli yoyote ile labda ucheke kwa emoj itatosha kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya. Unafikiri angekuwa hajazinduliwa kuna mtu angesumbuka naye? Tangu azinduliwe kila anakokwenda ni kama selebriti fulani hivi. Hata mtaani ni hivyo hivyo. Ukiwa singo hakuna anayekujali. Anza kudeti mtu sasa hata mabinti waliokuwa hawakusalimii pale mtaani wanaanza kujilengesha....
Aliyenacho huongezewa bro....
Tuntufe mwakanyasaTuntufye
Doooh!!pole basiNna moyo siyo chuma jaman Carba
Hao akina Nifah na Bold nao walifika wapi? Hakuna faida ya kuzinduana, period...Hahahahaha kitoooooooo kamu this way usikie mkwara wa shimba
Hii style ya uzinduzi waliiga kwa nifah na bold baasi watu wakataman na kuanzosha kapo mpya kila konaaa na uzinduzi wa mbwembwe na ma dedication. Bora kapo za humu wala hazitoki nje na kufatana fatana kama mkojo wa asubuh
Umepinduliwa kama serikali ya mugabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Buda,kupotea siku kadhaa tu, aloyce kateka jimbo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu utakayo yaona naomba tu uyaangalie bila kutoa kauli yoyote ile labda ucheke kwa emoj itatosha kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Najua na wewe unaelewa ila makusidi tuu
[emoji23] [emoji29]