Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuombea bro...
Ukipata utakuwa umepata haswaaaa...
Bro ntapata tuu
Mtafutaji hachoki
Akichoka ana acha kabsa ana endelea na ishu zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuombea bro...
Ukipata utakuwa umepata haswaaaa...
Buda naona ushakuwa ni aloyce sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] budaPole sana aloyce maana sio kasmart tena.
Ramadhan kareem[emoji120][emoji120][emoji120]
Kina Numby watoto wa kishuaHapana,huo ubuyu hauzidi wa cenderela na prince wetu wa humu
Sababu ya zilipendwa??Daaah!
Am hurt kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]Huujapokonywa kasmart shiro ni wako kuwa na amani[emoji125]
HahahahaTUPUNGUZE UMBEA bro. Tukaushe tu. Au unasemaje?
Huu uzi haufai kwa afya ya kapo humu,ukiondoka kidogo watu wanakupindua[emoji23][emoji23][emoji23]Jana nililigusia hili nikaonwa kama kituko nikaambiwa eti sijui shemeji. Shwaiiiini (in Andjul's voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marahaba shem. Zisi izi a moro paradoksi aisee...Ulinzi kwa kweli tuwaachie Wamasai tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msukuma na ulinzi wapi na wapi,acha mali "zilizo zinduliwa" ziibiwe tu.
Shikamoo shem[emoji120][emoji120]
Shukrani carba! [emoji120] [emoji120] [emoji120]Pole sana aloyce maana sio kasmart tena.
Ramadhan kareem[emoji120][emoji120][emoji120]
We nidanganye danganye tu ukinambia ukweli nitaumia[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Huujapokonywa kasmart shiro ni wako kuwa na amani[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi=Iceman
Yule= Carba
Yes [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Mimi=Iceman
Yule= Carba