Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu pipileee ataleta msala humu davet si alishazinduliwa jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumzindua mtu humu ni denja kwa sababu ukifanya hivyo watu ndo wanaanza sasa kujiuliza huyo aliyezinduliwa ana nini hasa? Maza hausi ni vere femazi hapa JF na jamaa wengi walishafungua masredi kumlilia. Sasa bro katokea from nowhere akazinduliwa na kuwapiku wote. Lazima mabinti watamsumbua ili nao waone kitu alichonacho na kilichosababisha azinduliwe.

Mabinti, acheni hii tabia ya kutamba na kuzindua watu humu. Nobody cares and you attract unnecessary attention to your bae. Ndiyo maana mimi nilishasema wazi. Ikitokea mtu akanizindua laivu hapa siku hiyo hiyo namlima talaka hapa hapa dadeki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20180519-074504.jpg
 
Nyota wa filamu, wanamuziki pamoja na watu wengine wenye ushawishi dunia ni baadhi ya mamia ya wahudhuriaji wa harusi ya mwanamfalme Harry na mwigizaji wa Kimarekani Meghan Markle inayofanyika leo mchana.

Nyota hao wamekuwa wakiwasili katika kanisa na Mtakatifu George huku wengine wakiwa wameambatana na wenza wao.

Mchezaji soka wa zamani David Bekham akiwa amefuatana na mkewe Victoria wamewasili kwenye sherehe hiyo.

Wengine ni mwendeshaji wa vipindi vya televisheni nchini Marekani, Oprah Winfrey na mwanamuziki wa Uingereza, Elton John.
 
Wengine wanaohudhuria ni mwigizaji wa Kimarekani, Idris Elba, mwanamuziki James Blunt. Mchezaji tenisi Serena Williams aliandika katika mtandao wake wa Instagram kuwa anajiandaa kuhudhuria harusi hiyo.

Picha za televisheni zimemwonyesha pia, mpenzi wa zamani wa Harry, Chelsy Davy akiwasili eneo la tukio. Wawili hao walikuwa na uhusiano uliodumu wa miaka saba.
 
Jokofu la kuhifadhia maiti katika kituo cha afya Inyala Wilaya ya Mbeya Vijijini halijaanza kutumika licha ya kutolewa tangu Machi 2018, ikielezwa sababu kuwa ni kutokamilika kwa jengo la chumba cha kuhifadhia maiti.

Jokofu hilo lenye uwezo wa kuhifidhi maiti sita lilipelekwa kituoni hapo na Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Machi 2018 kupitia mpango wake wa kupeleka vifaa tiba na dawa moja kwa moja katika vituo vya afya na hospitali za Serikali.
 
Akizungumza leo Jumamosi Mei 19, 2018 wakati akitoa taarifa kwa maofisa wa MSD, kaimu mganga mkuu wa kituo hicho, Alvin Mutiganzi amesema ujenzi wa jengo hilo utakamilika Julai, 2018 na kwamba mpaka sasa bado maji na umeme havijawekwa.

"Unajua jengo hili limechelewa kuwekewa miundombinu ya maji na umeme kutokana na kuwa mbali na majengo mengine ya kituo, lakini tuna imani mpaka Julai mwaka huu yote hayo yatakuwa yamekamilika na kuanza kutumika," amesema Mutiganzi.
 
Amesema kukamilika kwa chumba hicho, kutasaidia kupunguza gharama za kusafirisha maiti kwenda hospitali nyingine za mkoa huo, ambapo watu hulazimika kulipa Sh30,000 kiasi cha fedha alichodai kuwa ni kikubwa.

Akielezea athari za kushindwa kutumika kwa wakati kwa jokofu hilo, Salome Mallamia ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja na Shughuli za Kanda amesema kiutaratibu linatakiwa litumiwe ndani ya siku 30 tangu lilipofikishwa kituoni.
 
Zaidi ya watu bilioni mbili duniani wanatarajiwa kufuatilia katika televisheni harusi ya mwanamfalme wa Uingereza, Harry na mwigizaji wa Marekani Meghan Markle inayofanyika leo mchana Jumamosi Mei 19, 2018 katika kanisa la Kifalme la Mtakatifu George ndani ya kasri la Windsor.

Wageni 600 watafika kanisani hapo kushuhudia wapendanao hao wakila kiapo cha kuanza maisha ya ndoa. Meghan ambaye mama yake ni Mmarekani mweusi ni mtu wa kwanza mwenye damu ya Kiafrika kuolewa katika familia ya kifalme ya Uingereza.
 
Halafu jana tu nilijipa jukumu la kumuangalizia maza hausi. Whati du ai du nao? Mimi nami duh !!!
View attachment 781266
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msukuma na ulinzi wapi na wapi,acha mali "zilizo zinduliwa" ziibiwe tu.

Shikamoo shem[emoji120][emoji120]
 
Harry na Markle walilala katika hoteli tofauti karibu na Windsor. Hafla ya harusi hiyo itaongozwa na Malkia Elizabeth na baadaye baba yake Harry, mwanamfalme Charles ,ataongoza hafla ya jioni ikiwajumuisha wageni maalum 200.

Tukio hilo la harusi litakalochukua muda wa saa moja litafuatiwa na msafara wa dakika 20 nje ya kasri katika gari la kukokotwa na farasi. Polisi imepiga marufuku kurusha maua na mapambo wakati wa msafara huo , wakielezea kuhusu wasi wasi wa usalama.
 
Back
Top Bottom