andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kazi aliyo tumwa na Mungu ameitenda. Amerudi kwa Baba, kule anako stahili ili akapumzike baada ya mahangaiko ya dunia.Keshakamilisha safari yake. Ndiye alinipokea kwenye hili kanisa ninalosali. A true man of God. Basi tu...
Roho yake ipumzike kwa amani[emoji120] [emoji120]