Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bg_GJ5kD37K.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo vinaleta tabu humu ndani kumbe, hadi bro wa watu na upako juu, unajisahau

Kwema pia mkuu, tunamshukuru Mungu, vipi huko, biashara ya parachichi inaendaje
Biashara inaenda, si unajua baridi faraja yake parachichi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukibahatika na kuwa na sampo ya parachichi nene refu zito, kila mteja alitaka hiloo... Wee kazi yako ni kuwaonjesha tu. Tunda la kupewa na Mungu hilo, tena bureee... Uchoyo wa nini? Hela zipo tu na tutaziacha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom