Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wanaogopa kuibiwa bhana,halafu uzuri wa kuweka private hata mkiachana hakuna atakayejua zaidi yenu,sasa hii"kuzinduana"mkiachana tu tunajua maana mtabadili id na kukimbia jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#protectyourlovedones#
Halaf nimegundua wengi wanao fanyaga hizo mbwembwe ukimtoa Smart na mahondaw huwa later on wote au mmoja wao anakuja kupotea.
Sasa sjui ndio wanabadili ID baada ya kuface reality au wanapumzika tu kuja jf
 
Hebu fikiria,tumejitangaza kwa mbwembwe humu hatuachani na showoff kibao mwisho wa siku tumeachana ukifikiria zile drama zenu za humu unaachaje kubadili id ama kukimbia jf?

By the way,i hate you[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Amazing grace! How sweet the sound That saved a wretch like me! I once was lost, but now am found; Was blind, but now I see.

’Twas grace that taught my heart to fear, And grace my fears relieved; How precious did that grace appear The hour I first believed.[emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
..
Screenshot_2018-05-20-14-43-50-1.jpg
 
Hebu fikiria,tumejitangaza kwa mbwembwe humu hatuachani na showoff kibao mwisho wa siku tumeachana ukifikiria zile drama zenu za humu unaachaje kubadili id ama kukimbia jf?

By the way,i hate you[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cha kushangaza hakuna anaye jifunza
Kila mtu ana rudia hilo hilo.
Kwanza ilitakiwa wawe wanafungua jyuzi za kututaarifu kuwa wameachana kabsla ya kupotea[emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha watu wapendane bhana,waoga kama wewe msifungue nyuzi maana tusipomuona tutajua mshapigana chini
 
Back
Top Bottom