Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kauli za Magu ni hizi nnazo kumbuka mie

1) Hongeren kagera kutobowa Kitobo Cha simba
2)Nna imani Simba Hamtaweza Kung'owa Viti Leo
3) Kwa mpira huu simba hamtaweza kuchukuwa kombe la afrika
4) Mnanifanya nsiwe na kuja kuwaangalia sababu mpira wenu mbovu
Hahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…