Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445516362_354498.jpg
 
*Hivi watu wanawezaje kutunza soda creti zima kwenye friji? Nimeweka soda tatu tu lakini usingizi sipati.... sina amani mpaka nizinywe. Ninazunguuka zunguka hapa sebuleni... chumbani waapi!!! Najaribu kufikiria kazi za kesho na vile nitaenda ofisini lakini wapiii!!! Akili inaniambia tu my friend stop cheating yourself kunywa soda* [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
“Strong women aren’t simply born. We are forged through the challenges of life. With each challenge we grow mentally and emotionally. We move forward with our head held high and a strength that can not be denied. A woman who’s been through the storm and survived. We are warriors.”
 
Back
Top Bottom