Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

```Leo nimekaa nikawa nawaza kwanini majina mengi ya kiswahili yanayoanza na Y kwa kiingreza yanaanza na J

Mfano

1. Yohana - John
2.Yakobo - Jacob
3.Yusufu - Joseph
4.Yoweli - Joel
5. Yesu - Jesus
6. Yuda - Judah
7.Yeremia - Jeremiah


Sasa mwishowe nikaenda mbali zaidi nikakumbuka hata timu yangu ya Yanga nayo jina linaanza na Y, likienda kwenye system ya Y kiswahili na J kiingreza??

Yanga- Janga```[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fool
 
Umekosea Shiro. Ungemwambia kande asingekusumbua tena. Mwanaume wa Dar kande hazimshibishagi... [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kande hazishibishi
 
Back
Top Bottom