Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Here is your word for today:

Verse: Genesis 41:16

'It is not in me; God will give...'

- There are some things that we do not have the answers for.
- But God, Who knows all things, can give the answers that are needed.
- We should not look to man for all the answers we are looking for.
- The Lord will give what is needed in your unique situation.

PRAYER: Lord, thank You that I don't need to find all my own answers. I know that I can look to You, the author and the finisher of my faith, and You will give me what I need the most. Amen.

Have a great week.
Kind Regards
 
Good morning
IMG_20180520_173902_229.jpg
 
Zaburi 150
1 Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.

2 Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.

3 Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi;

4 Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi;

5 Msifuni kwa matoazi yaliayo; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.

6 Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Haleluya.
 
Zaburi 149
1 Haleluya. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.

2 Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya, Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.

3 Na walisifu jina lake kwa kucheza, Kwa matari na kinubi wamwimbie.

4 Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu.

5 Watauwa na waushangilie utukufu, Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.

6 Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao, Na upanga mkali kuwili mikononi mwao.

7 Ili kufanya kisasi juu ya mataifa, Na adhabu juu ya kabila za watu.

8 Wawafunge wafalme wao kwa minyororo, Na wakuu wao kwa pingu za chuma.

9 Kuwafanyia hukumu iliyoandikwa; Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote. Haleluya.
 
Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo katika maisha yako na itumie vizuri leo kwani leo ndiyo maisha yako. Kila unapoamka asubuhi hakikisha unaitumia vizuri asubuhi yako kabla ya dunia haijaamka, asubuhi ndiyo pa kupata ushindi wa kwanza kabisa katika siku yako.
 
Rafiki, napenda kutumia nafasi hii kuweza kukualika tena katika kipindi chetu cha leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja yale mazuri niliyoweza kukuandalia. Kwa namna ya pekee kabisa, nakukaribisha ili uweze kuambatana nami mpaka pale tamati ya kipindi chetu cha leo. Kupitia makala ya leo ninakwenda kukushirikisha faida ya kwenda moja kwa moja kwenye shabaha au lengo kusudiwa.
 
Kwanza kabisa, napenda kukusimulia simulizi fupi ambayo kuna ndugu mmoja aliweza kunishirikisha. Ndugu mmoja alikuwa anaishi katika kijiji chenye changamoto ya maji hivyo ili aweze kupata inamlazimu kwenda kutafuta maji sehemu ya mbali kwa kutumia usafiri wa punda. Ndugu huyo aliamua kwenda kwa mzee mmoja aliyeko karibu na kijiji chake ambaye anaweza kumsaidia punda kama chombo cha usafiri ili kimrahisishie kwenda kutafuta maji.
 
Rafiki, ndugu alifanikiwa kufika mpaka kwa mzee huyo ambaye ndiye anatoa msaada wa punda kwa ajili ya kwenda kuchotea maji. Baada ya kufika kwa mzee, yule ndugu alimsalimia mzee yule na kuendelea kupiga stori nyingine na kushindwa kuelezea kile kilichompeleka pale yaani lengo alilokusudia. Katika maongezi yao ya muda mrefu kidogo aliweza kujitokeza kijana mwingine kwa yule mzee.
 
yule kijana mgeni alipofika kwa yule mzee wa punda aliweza kumsalimia mzee na kumwambia shida yake iliyompeleka pale bila ya kupindisha pindisha maelezo. Akamwambia mzee nimekuja na shida yangu ni punda, yule mzee akamjibu sawa na punda umepata nenda kawachukue ukafanye shughuli yake.
 
Baada ya yule kijana kuondoka, yule ndugu wa mwanzo akamwambia mzee na mimi nilikuwa nahitaji punda kwa ajili ya kwenda kuchotea maji. Yule mzee akamjibu muda wote umekuja hapa unazunguka kumbe una shida ya punda umeshindwa kusema mpaka amekuja mtu mwingine nimempatia.
 
nini tunaweza kujifunza kupitia simulizi hii ya huyu ndugu aliyekuwa anahitaji punda kwa ajili ya kwenda kuchotea maji? Kwanza kabisa, punda ni mnyama ambaye huwa anatumika na watu wengi wanaoishi maeneo ya kijijini kwa ajili ya shughuli mbalimbali kama vile kulima, kubeba mizigo kama vile kuchota maji nakadhalika. Mara nyingi watu wengi wanakosa fursa mbalimbali kwa sababu ya kushindwa kueleza shida yao iliyowapelekea kama vile ilivyomkuta ndugu yetu aliyekuwa anahitaji punda.
 
Hapa tunajifunza kuwa unapoenda kwa mtu na una shida fulani basi kumbuka lengo ulilokusudia, lengo lililokupeleka pale. Unaweza ukaanza na salamu na baada ya salamu nenda moja kwa moja kwenye lengo au pointi yako, yaani “go direct to the point” huna haja ya kuzunguka mbuyu na kuwa na maelezo mengi. Unapozunguka mbuyu unakuwa unajikosesha fursa mwenyewe hivyo unatakiwa kuelezea kwanza shida yako, halafu hapo baadaye ndiyo unaweza kuendelea na hadithi nyingine.
 
Back
Top Bottom