Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Vumilia tu mkuu. Maadamu umeshatandikwa talaka basi hakuna namna. Kichwa Kichafu na jamaa mwingine wanatafutwa waende Shinyanga. Wana-take over...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimekupata kwenye sentensi ya tatu.We mtu mbaaaya wewe [emoji121] [emoji121]
Dah! Haya mkuu faidi mwenyewe...Nikikuambia mkuu itabidi nikuue!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Rudi kwenye post za saa 12 asubuhi utakutana na madudu yake. Nimekwambia tulia hautakiUniq tutafutane leo shinyanga, andjul ashachezea talaka zake tena 10 za bila ht kupeana salam njiani.
Am immortal tell dem thatManeno huumba. Shauri yako. Utamwacha Mzee wa Ini anasherehekea !!!
Wivu tu,nishampata na soon anani engage.Kapita muda si mrefu hapa Mbagala, ni kama wametokea Mkuranga. Yupo na manjagu kwenye defender yao, nadhani wamempa lift.
Hahahaha sharkan hapa mambo yake yausike kabisa.Hahhahaha ya kihindi kwanza
Unavunja ndoa leo halafu unachukuliwa na mwanamme mwingine siku hiyo hiyo? Isulage bageshi [emoji23][emoji23][emoji23]Aje tusalimiane halafu anichukue rasmi baada ya kutoka kwa andjul.
Mkuu hauleweki sasa!Unamtafuta wa nini?
Si ni salam tu jamani,loh. Kumbe bado unanipenda ila unajishaua tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] Rudi kwenye post za saa 12 asubuhi utakutana na madudu yake. Nimekwambia tulia hautaki
Safi mkuu. Naona unaitwa kwenda Shinyanga kwa ex wa Andjul. Safiri salama mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Kwema kiongozi
Hataondoka yeye hahahahaHahahha na mijini hatuhami ng'ooo atashangaa tunafika hadi 2020.
Nilikuwa nimenunua na pete yako kabisa usiku na mchana nakuwaza wewe tuCc andjul, alisema wa nn na wakati wenzie walikuwa wanawaza watanipata lini hahahha yaan huku ni raha tuuuuuu, shida tupa kule kwa andjul
Lugha gonganaDwalalaga mhola bageshi. Mabunoge gwike. Ungoshi wako walalaga mukaya ilelo? Ndanganu gete ungosha ng'wenuyo!
Hayaaa!!! Usiye mpenda kaja.[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hahahah kimjini mjini bagheshi, km daladala anashuka mtu anakaa mtu.Unavunja ndoa leo halafu unachukuliwa na mwanamme mwingine siku hiyo hiyo? Isulage bageshi [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaAnajua ila ndio kuupendezesha Uzi wetu
Hahhhahhhha awezi kukubaliNikikuambia mkuu itabidi nikuue!!!
I will fight for herShe's my maker so nothing can separate me from her. She is original
YapWanaume wa Dar [emoji23][emoji23][emoji23]