The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
Hivi ni mimi tu sina mpenzi hapa au tupo wengi
Ana ujumbe wakeUnamtafuta wa nini?
HahahahahaMimi mwenyewe nashangaaaaaa(gwajima voic)
Ok i likes like likeLike likes like
Wahindi kulia tu hamna lolote [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Hahhahaha ya kihindi kwanza
We muache sisi ngoja tufanye yetu usimkumbushe wajibu wakeHuonekani kama una strategies zo zote mbali na kurusha machombezo ya kimombo mara moja moja. Whatever works bro. I am cheering you on...[emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka huu wivu sasa na ww.Wahindi kulia tu hamna lolote [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Morning kichafu kama tupo wote 80k tunapigaKula likes ndugu yangu
HahahahaHayaaa!!! Usiye mpenda kaja.
Karibu mkuu
Tell who? Yourself?Am immortal tell dem that
Hata me niko safarini nitakieni heriuniq nakutakia safari njema ufike salama Tanga
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] AMUN RAWakati mwingine a spade is just a spade mkuu. Usimsikilize sana Cole. Ana msongo wa mawazo kwa sababu kuna vita vikali anapambana dhidi ya Mzee wa Ini. Tumhurumie tu kwa sababu hakuna namna!
80k pamoja kiongozi japo itakuwa night kali sanaMorning kichafu kama tupo wote 80k tunapiga
Mornie!!!Mornie
Ya msimu hayo, ng'ombe haongozwi kuingia zizini, utarudi kwa hiari yako.Yupo,achana nae huyo atakuja kufanya fujo bure
Leo nipo my QueenGood tuli ku miss jana
Kicheko chako tu kinaondoa stress zangu za siku nzimaHahahahaha