myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
6. Kuamini Wewe ni Mifupa na nyama tu!
Hili ni kosa kubwa sana maishani, wengi huamini binadamu n mifupa na nyama tu, hivyo hakuna hata ya kufanya kazi kwa bidii kwa kuwa tu “eti” Mwisho wa siku tutakufa na kuzikwa! Je, Unawaachia nini wanao na kizazi chako? Je kwa nini hasa Mungu alitupa utashi tofauti na Mbuzi na wanyama wengine?
Kumbuka, Tungeamua kuamini kuwa sisi ni Nyama na mifupa tu, kusingekuwa na Magari, Simu, Majengo ya kisasa, na Hata hii dini tuliyonayo tusingeipata.
“do your part, make world a better place”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee[emoji23][emoji23][emoji23], huo mweleka wake baada ya hapo hautakuwa wa nchi hii.
Mazungumzo ya Napoli na meneja wao Maurizio Sarri yametibuka kutokana na mataminio ya meneja huyo kutaka kuihamia Chelsea. (Mirror)
Mazungumzo ya Napoli na meneja wao Maurizio Sarri yametibuka kutokana na mataminio ya meneja huyo kutaka kuihamia Chelsea. (Mirror)
Aende tu atuachie Napoli yetu!!Mazungumzo ya Napoli na meneja wao Maurizio Sarri yametibuka kutokana na mataminio ya meneja huyo kutaka kuihamia Chelsea. (Mirror)
Mlinda lango kutoka Ubelgiji Thibaut Courtois, 26 ametishia kuihama Chelsea iwapo klabu hiyo haitatumia pesa zake kama klabu za ''Manchester United na City'' msimu huu wa joto. (Sun)
Mlinda lango kutoka Ubelgiji Thibaut Courtois, 26 ametishia kuihama Chelsea iwapo klabu hiyo haitatumia pesa zake kama klabu za ''Manchester United na City'' msimu huu wa joto. (Sun)
Mmh ushafika hadi napoli?Aende tu atuachie Napoli yetu!!
Popote nipoMmh ushafika hadi napoli?
Uteuzi wa Kocha wa zamani wa Paris St-Germain Unai Emery umewashangaza wengi baada ya kuteuliwa katika dakika za mwisho kuwa meneja mpya wa Arsenal. (Mail)
umeanza mwenyeweee masuala ya jeziPopote nipo
haya mambo lazima uwe na jezi za kubadili [emoji23][emoji23][emoji23]
Uteuzi wa Kocha wa zamani wa Paris St-Germain Unai Emery umewashangaza wengi baada ya kuteuliwa katika dakika za mwisho kuwa meneja mpya wa Arsenal. (Mail)
Manchester United imekubaliana katika hatua za kwanza na kiungo wa kati kutoka Brazil Talisca, 24 ambaye amekuwa kwenye mkopo na Besiktas kutoka Benfica. (Star)