Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Rais mstaafu wa Comoro, Ahmed Abdallah Sambi ameomba msaada wa Serikali ya Tanzania imnusuru baada ya kuwekwa kizuizini kwa siku ya pili na Serikali iliyo madarakani nchini humo.
Hata hivyo, Katibu Mkuu Wizara Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Profesa Adolf Mkenda alipoulizwa kuhusu suala hilo kwa njia ya simu amesema, “Nisingependa kusema chochote kwa sasa hivi. Wote tunaangalia kinachoendelea kule.”