Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanaohusika wananielewa sana. Wewe subiri akina God is Bae, Carrissa, Jakitoo na mabinti wengineo waje hapa uanze kuhangaika like everybody else [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hauleweki sasa!
Sijawahi kushindwa katika maisha yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Aisee vita ni kali kweli but winning is the only option I have got
Tupo wengi kula likes kwanza ngoja niwahi totozHivi ni mimi tu sina mpenzi hapa au tupo wengi
Naamini ulitaka kusema "Ataondoka yeye"...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hataondoka yeye hahahaha
Pata likeKuchungulia nini mkuu. Si ni maneno tu watu wanaandika hapa hadharani? Utani unanoga mtu ukimkumbusha alichokuwa anafanya. Subiri akija hapa uone atakavyo-react. Hata huyo mwenye paja naye si ajabu atajitetea. Tunacheka na unasonga mbele na kufurahia likes....
Huko sirudi tena baba.Ya msimu hayo, ng'ombe haongozwi kuingia zizini, utarudi kwa hiari yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikikuambia mkuu itabidi nikuue!!!
mseme kabisa nami nijiongezeHivi ni mimi tu sina mpenzi hapa au tupo wengi
Mpenzi unajua nimemaliza masaa mawili nakutazama tu maana moyo wang unatulia kabisaHaya mpenzi
Oooooooh tayari andjul tayari hukuHaya mpenzi
HahahahahahKeep pushing the Great wall but remember your work done =00000
Bado yupo shinyanga.uniq nakutakia safari njema ufike salama Tanga
Kula likes kwanza mkuuOooooooh tayari andjul tayari huku