Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii sasa kasumba. Eti nikiona post yako ishafikisha likes 5 nakuruka naenda kusaka zenye likes 4 na kwenda chini. Hii ni haki kweli hii?
Duh kumbe ni wimbo.....ulete hapa basi [emoji28] [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro Kwema Tumshukuru Mungu katika pitapita nikasikia HATUPOI kuulizia kumbe ni wimbo
duh!!Hii sasa kasumba. Eti nikiona post yako ishafikisha likes 5 nakuruka naenda kusaka zenye likes 4 na kwenda chini. Hii ni haki kweli hii?
[emoji23][emoji23], niogope nini sasa?Aisee..
Ila huo umri ni wastani. Mtu ukijitunza na Mungu Akakubariki unaweza kupiga karne na ushee. Usiogope [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23], sio POA kabisa..Hii sasa kasumba. Eti nikiona post yako ishafikisha likes 5 nakuruka naenda kusaka zenye likes 4 na kwenda chini. Hii ni haki kweli hii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], akiwa peke yake??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyimbo za harmonize