[emoji125] [emoji125] [emoji125] na yeyote atakeshindwa kujenga hadi kufikia 2020 hatajenga tena, ukishindwa kununua gari mwaka huu ni uzembe wako. Maana unalipa motor vehicle wakati hata tyre ya gari hauna.Na sisi wanaume ambao tupo dar kwa kauli ya mkuu tutarudi shamba mwambien ndio kwanza nataka nijenge nyumba ya tatu
Usitoe hizi mkuu maana naweza kukimbia uziWanaohusika wananielewa sana. Wewe subiri akina God is Bae, Carrissa, Jakitoo na mabinti wengineo waje hapa uanze kuhangaika like everybody else [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Keep pushing the Great wall but remember your work done =00000
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Keep pushing the Great wall but remember your work done =00000
That's what I am talking about....Keep pushing the Great wall but remember your work done =00000
Oooooooops Rais nakuona unaangalia taifa lakoMornie!!!
Tupo wengiHivi ni mimi tu sina mpenzi hapa au tupo wengi
Hahahahaha usiwe na hofu nitakulisha keki mtu wa kwanza kabisaHhaha dah hii spidi iendelee hivi hivi jamani kuelekea kwenye siku yangu ya kuzaliwa tarehe 7. Siku hiyo sherehe ntaifanyia humu humu,na kwa sms hii basi natoa mwaliko kwa wadau wote wa huu uzi.
Kabla ya yote naomba utambue uwepo wa andjul, wasiliana nae akupe idadi ya anaowamiliki ili isije ingia nae kwenye vita.natangaza rasmi mpenzi anaitajika
Pata like kwanza morning 2Mornie
Pata like kwanza morning 2Mornie
Alikuwa anatania tuKama vile masaa sita yaliyopita ulikuwa hulimwagii sifa za kufa mtu paja la Jakitoo! Wanaume sisi kiboko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea na unao battle naoSijawahi kushindwa katika maisha yangu
Ni kweli mkuu. Sina kinyongo nae maana vita ilikuwa kubwa, wewe ukiwa mshirikiVumilia tu mkuu. Maadamu umeshatandikwa talaka basi hakuna namna. Kichwa Kichafu na jamaa mwingine wanatafutwa waende Shinyanga. Wana-take over...
Mkuu naona unakuwa nyuma kutambua fursa za huu uziOooooooops Rais nakuona unaangalia taifa lako
Hahahah Mapenzi MubasharaWahindi kulia tu hamna lolote [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hewala,uuuuh thanks in advance honey.Hahahahaha usiwe na hofu nitakulisha keki mtu wa kwanza kabisa
Kichwa kichafu lete likesWe muache sisi ngoja tufanye yetu usimkumbushe wajibu wake
Poleni,na ndio tushaisha sasa.Tupo wengi