Hapa duniani hata uwe na nguvu namna gani lazima kuna mtu anayekuzidi. Mike Tyson hapa anakumbushwa kanuni hii muhimu na Buster Douglas kule Tokyo Japan [emoji16][emoji16][emoji16]. Wachambuzi wengi wa michezo wanakubali kuwa hii pengine ndiyo upset kubwa na ya kushangaza kuliko zote katika ulimwengu wa michezo...Look at that devastating beautiful uppercut...