Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tupo wengi mkuu. It is like a conveyor belt. Kuna mijibaba inayoachika, inayohangaika kupata, inayokataliwa, inayogombania binti mmoja na mingine inayoshabikia tu na kuchochea moto huku na huko bila sababu. Ni struggle for existence and the survival of the fittest to the max. Kwenye mpambano wa Babe S hukushiriki?
Mzee wa data nakukubali
 
Back
Top Bottom