Ati nini?Tupo wengi kula likes kwanza ngoja niwahi totoz
npo nawasubiriWatakuja suburi
Kwahyo ukatumia hiyo advantageandjul anamichepuko mingi
OopsMmetakakatisha pesa wakuu?
HahahahaFor example celtic kwenye scot League akuwai fungwa na Barcelona kafungwa 7 so
Mzee wa data nakukubaliTupo wengi mkuu. It is like a conveyor belt. Kuna mijibaba inayoachika, inayohangaika kupata, inayokataliwa, inayogombania binti mmoja na mingine inayoshabikia tu na kuchochea moto huku na huko bila sababu. Ni struggle for existence and the survival of the fittest to the max. Kwenye mpambano wa Babe S hukushiriki?
Sad japo ni hatua ya muhimu katika ukuaji. Ngeu, majeraha, miiba na hata kuvunjika vidole na baadhi ya viungo ilikuwa ni kawaida kwa watoto wakorofi kama mimi...
Mkuu kwema, jambo la heri tumeamka salama kwa mapenzi ya Mungu baba aliye hai.Kwema lakini
Anakutafuta,anataka umtafutie mpenzi.Umeamka mkuu?
Hakuna neno saivi nagonga likes hapa mbele baadae niingie chimbo huko kusambaza likesKichwa kichafu lete likes
Shwari..karibu tulisukume.Habari za kuamka wote hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maneno ya mkosaji pole sana KamandaDuh!! Hiyo ni voda fasta au jazwa ujazwe?
nakuona pia mamaaNakuona