omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
sentesi fupi yenye maana yenye kuzidi nyuzi tatu ndefu sana.
sentesi fupi yenye maana yenye kuzidi nyuzi tatu ndefu sana.
hahahaha! sijui ila nahisi kabisa kuna njia rahisi sana kuliko ata kutuma hizo dawa.Hahahahaaa!! Sasa nakutumia vipi hizo dawa 3?
Ipi hiyo?hahahaha! sijui ila nahisi kabisa kuna njia rahisi sana kuliko ata kutuma hizo dawa.
Asante bro...AMEN.
napenda sana Neno lililo hai.
Aisee! Kumbe nimekuwa mhenga sasa...
Pengine ujiunge na kuwa na homa kama yangu, naweza pata hope nikajua fika kumbe Homa niliyonayo ni homa ya kawaida nikapata nafuu na kuurejea uhai Wangu kama ilivyo awali.LOLIpi hiyo?