Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I havent had sex in so looooongggggggg [emoji16][emoji16][emoji16]
I thought umeoa Chief,
Gonga likes chief. That's all [emoji16][emoji16][emoji16]
Hah hah
Sawa Chief, nlisahau kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] safari sio kifo,mama watoto.Subiri nitarudiii mama watoto...
Nikirudi mama nitakuletea zawadi....zawadi nonoooo[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
 
FB_IMG_1527091092776.jpg
 
Moyo kiungo kidogo kilichobarikiwa uwezo wa kusukuma Damu na Kupenda, Moyo unaamua umpende nani? umchukie nani? napendaga kuuita ni( engine of love) LOL.

Kuna aina mbili za upendo mosi ni upendo unaohusisha akili na mwili, pili upendo unaohusisha Moyo na Akili.

1. upendo unaohusisha Akili na mwili mala nyingi sana unakuwa ni Upendo wa muda tu(temporary love) upendo huu umetapakaa sana miaka ya hivi karibuni Vijana Akilini mwao wanawaza(Wanatumia Akili) kufanya Mapenzi( wanatumia mwili) tu. upendo huu ndio chanzo cha Ndoa kuvunjika na mifarakano isiyokwisha ya wapenzi.

2. Upendo unaohusisha Moyo na Akili, Upendo huu Mala nyingi ni Upendo wa kweli unaotoka deep down ya Moyo. upendo huu Wanawake walijaariwa nao Lol. Moyo na akili vinaungana na kumpenda mtu mmoja tu, mawasiliano ya moyo na Akili yakiwa mazuri mtu anaweza mpenda mtu mwingine kwa asilimia miamoja. Upendo huu naomba kila mmoja awenao

jioni imeingiaa
http://
 
Najiandaa kutembea kwa magoti hadi mwakaleli kuomba msamaha[emoji144][emoji144][emoji144]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] safari sio kifo,mama watoto.Subiri nitarudiii mama watoto...
Nikirudi mama nitakuletea zawadi....zawadi nonoooo[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
 
Back
Top Bottom