Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

439639596_219669.jpg
 
Nchi ya KODI!
Raia wanatozwa kodi kwaajili ya ujenzi wa reli kwa bidhaa zinazoingizwa nchini (Railway Development Levy) tangu mwaka 2015 ilipotambulishwa rasmi. Ni muhimu kila mtanzania akaheshimiwa kwasababu hii reli tunajenga sote hata kama kwa kudunduliza. Nchi ni yetu sote!
 
Back
Top Bottom