Hahahaha nsamaka mbona tayari yupo chumbani kwanguMimi usinisingizie mkuu. Uchepukaji wako ndo umekuponza mkuu. Jaribu kuomba radhi may be bagheshi wangu atakusamehe. Fanya haraka kabla Kichwa Kichafu hajahamia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetoka wapi Mkuu?Ndio nipo njiani narudi home
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] na huo ndio uhalisiaKama vile masaa sita yaliyopita ulikuwa hulimwagii sifa za kufa mtu paja la Jakitoo! Wanaume sisi kiboko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chukua hiyo MkuuMorning karibu na pata like
Kiongozi kwema?Wapi Mkuu kichwa kichafu
Wenye mademu wana mihemko ya testosterone na dopamine unafikiri hata wanaona basi. Ni sisi ambao tuko sober ndiyo tusaidie kukemea baadhi ya mambo yanayovuka kiwango!Afadhali umesema..sio kila kitu wanaposti hapa. Watu wanawaza mademu wao wanakatwa stimu na picha za kutisha.
Karibu tena..Nashukuru mungu me ni mzima kabisa
Mzee wa kusawazisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namtakia asubuhi njema
HahahahhaNimeona, amesema ni kama daladala.
Hayaaa jamani!!! Tafuta hela wewe...natangaza rasmi mpenzi anaitajika
Cole Williams kumbe huwa anajiliwaza hebu njoo ujibu tuhuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nataka nirudi kuwa msolid. Najiandikia vimaneno maneno vya kuniliwaza kama afanyavyo Cole Williams
Yaani Leo niko full 24 hrsNgoja nitafute chaji ya simu ili leo kutwa nishinde hapa.
AsanteKaribu tena..
Utoe tu tangazo halafu waje wanakukimbilia? Mijibaba inatoana ngeu hapa akina Andjul mpaka wanachoma nyumba zao halafu wewe utangaze tu na mademu wakufuate? What is your secret?Why not?
HahahahahaMzee wa kusawazisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tutakuwa pamoja Mkuu ila tatizo hii simu ikiwa H+ inakunywa chaji balaa.Yaani Leo niko full 24 hrs
Umesema????Yaan we acha tu, maana hata ka rangi kangu kako very amaizing. Lazima zimtoke tu za kutosha.