Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ningendako maana yake nin?
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee

Hilo jina bhna nilikosea wakati wa kuadika user name,,, ila ni jina langu kabisa linaandikwa hivi NIGENDAKO,,, asili yake ni Burundi,, nilipewa na Binamu yangu, yeye ni mtu wa huku Burundi(alale mahali pema peponi,alishatangulia mbele ya haki)

Maana ya hlo jina ni mtu mkiwa, mpweke,, upweke au ukiwa ulitokana na ndugu zangu niliokuwa na nawafata kuzaliwa kufariki,, So baada ya ndugu zangu hao kufariki(walikuwa wawili) then ndo nikazaliwa mm,, ikabidi nipewe hlo jina na huyo binamu yangu, kwa kuwa mmezaliwa mpweke/mkiwa sina wa kufatana nao!!!

Hope umenipata vizuri bro!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…