Hata mimi nakukubali daima mkuu.Nakukubali mkuu daima.
You are real talented
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] aisee
Hilo jina bhna nilikosea wakati wa kuadika user name,,, ila ni jina langu kabisa linaandikwa hivi NIGENDAKO,,, asili yake ni Burundi,, nilipewa na Binamu yangu, yeye ni mtu wa huku Burundi(alale mahali pema peponi,alishatangulia mbele ya haki)
Maana ya hlo jina ni mtu mkiwa, mpweke,, upweke au ukiwa ulitokana na ndugu zangu niliokuwa na nawafata kuzaliwa kufariki,, So baada ya ndugu zangu hao kufariki(walikuwa wawili) then ndo nikazaliwa mm,, ikabidi nipewe hlo jina na huyo binamu yangu, kwa kuwa mmezaliwa mpweke/mkiwa sina wa kufatana nao!!!
Hope umenipata vizuri bro!!
Replicant HunterBlade runner
Ice T and CoCoKeeping up with the kardashians[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mtu ambaye hajawahi kufanya kosa hajawahi kujaribu kitu chochote.”
Albert Einstein
HahahaMaharage
Hata sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Jina zuri sana, ni ki lugha gani hiko?
Tuko pamoja sana JakitooSawa mkuu ntakuwa nakuita[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mtu anayesema hawezi kufanya hatakiwi kumwingilia mtu anayesema ninaweza kufanya.”
Chinese Proverb