Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna watu sio wakristu lakini wana shiriki meza ya bwana.

Kuna watu sio waislamu lakini wana funga mwezi mtukufu.

Kuna watu sio wauaji lakini Maneno na matendo yao wanaua.

Kuna watu sio madkatari lakini Maneno yao na matendo yanaponya.

Kupanga ni kuchagua[emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom