Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Una muda gani hujaenda kijijini kwenu mkuu? Au ni mtoto wa mjini?Hakuna kitu KIBAYA kama UMASIKINI. Kama uko sehemu unapiga kazi au biashara pambana haswa na ombea kazi yako, afya yako na mwajiri wako.
Nilichokiona leo! [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Watu wanaishi vibaya jamani! Dah!