Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kutongoza mala nyingi hii imezoeleka Mwanamme ndio anaanza kumtongoza mwanamke. Yaani Mwanamme yeye ndio anakuwa wakwanza kumpenda Mwanamke, Swali ni je mwanamke hana hisia za kuanza kumpenda mwanamme ndomana Hatongozi? jibu linakuja Hapana jinsi zote mbili zina hisia za kimapenzi.

Tamaduni na Mila za jamii nyingi za nchi za kiafrika ni lazima mwanaume ndo amuanze Mwanamke. Ni nadra sana na itashangaza kama mwanamke akimuanza mwanamme..!
 
Mwanamme kuanza kumtongoza mwanamke means yeye ndio kampenda mwanamke hivyo inategemea kama na huyo mwanamke aliyetongozwa anahisi sawa na yeye.

Inakuwa ni kama umempa simu yako yenye Nywira(passwords) sasa inategemea je password yako anaijua au laa...!
 
Mikato
IMG-20180523-WA0032.jpg
 
NGUVU ZA KIUME.

usiwe ni mtu wa kuangaika kutumia sumu na kemikali ambazo zipo kwenye VIAGRA au kuangaika na mitishamba wakati Nguvu unazo basi tu hujataka ziwe ACTIVE.

Binasfi nilikuwa nadhani ninaupungufu lakini nilikuja kujua sina hilo tatizo na niko fiti physically.

ni hivi ili Mwanaume asimamishe vizuri dushee ni lazima akili yake, mwili wake, afya yake viwe ACTIVE.

simple tu Fanya mazoezi(aerobics) kula mlo kamili kunywa Maji Mengi (at least glass 5) kwa siku, Kunywa Maji Mengi kutaweka uwiano na mzunguko mzuri wa damu, utajenga Afya pamoja na misuli.hii itasaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini na kuifanya dushee isimame wima.

usisumbuke Nguvu unazo.
 
Hahahahahha!! Usifanye watu waanze kunywa maji lita 20 kwa siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Good morning!
 
Back
Top Bottom