MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Niaje Mzee wa Gangster squard
Sema jombaaa, mishe nigani ??Niaje Mzee wa Gangster squard
Fresh babu, mitikasi niaje pande hzoSema jombaaa, mishe nigani ??
Kupata rafiki ukiwa na pesa ni rahisi kishenzi, ila kupata ukiwa hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi......Masikini hana rafiki
Huwa nakuambia wanachokuambia ila wao wanakimbilia police....[emoji23][emoji23][emoji23]
Gathoo [emoji134][emoji134]ntakula tu mwenyewe
[emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uje fasta leo ntakulisha [emoji1]
[emoji124]
Nikisema unachosema naonekana mpuuzi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha nikumishe bhana
Your majesty, the duchess of Wales[emoji1]
[emoji124]
Davet mzee wa mistari [emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nakuambia wanachokuambia ila wao wanakimbilia police....
Higher by Nikk wa pili
Ukiwa hauna kitu na ukapata marafiki, hao wanakuwa marafiki kweli, lako lao lao lako.Kupata rafiki ukiwa na pesa ni rahisi kishenzi, ila kupata ukiwa hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi......
Sihitaji marafiki by Fid q.....
Huku tupo tu tunakula vumbi na kuoigwa na juaFresh babu, mitikasi niaje pande hzo
Hahahahahha!! Usifanye watu waanze kunywa maji lita 20 kwa siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NGUVU ZA KIUME.
usiwe ni mtu wa kuangaika kutumia sumu na kemikali ambazo zipo kwenye VIAGRA au kuangaika na mitishamba wakati Nguvu unazo basi tu hujataka ziwe ACTIVE.
Binasfi nilikuwa nadhani ninaupungufu lakini nilikuja kujua sina hilo tatizo na niko fiti physically.
ni hivi ili Mwanaume asimamishe vizuri dushee ni lazima akili yake, mwili wake, afya yake viwe ACTIVE.
simple tu Fanya mazoezi(aerobics) kula mlo kamili kunywa Maji Mengi (at least glass 5) kwa siku, Kunywa Maji Mengi kutaweka uwiano na mzunguko mzuri wa damu, utajenga Afya pamoja na misuli.hii itasaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini na kuifanya dushee isimame wima.
usisumbuke Nguvu unazo.