Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bwana Mungu, nashangaa kabisa

Bwana Mungu, nashangaa kabisa nikitazama kama vilivyo
Nyota, ngurumo, vitu vingi vyote viumbwavyo kwa uwezo wako

Roho yangu na ikuimbie
Jinsi Wewe ulivyo Mkuu,
Roho yangu na ikuimbie
Jinsi Wewe ulivyo Mkuu.

Nikitembea pote duniani, ndege huimba, nawasikia,
Milima hupendeza macho sana, upepo nao nafurahia.

Nikikumbuka kama Wewe Mungu ulivyompeleka Mwanao
Afe azichukue dhambi zetu, kuyatambua na vigumu mno.

Yesu Mwokozi utakaporudi kunichukua kwenda Mbinguni,
Nitashukuru na kwimba milele, wote wajue jinsi ulivyo
 
Habari yako mtumishi wa Bwana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…