AmenUpako [emoji120][emoji120]
Barikiwa sana mpendwa
Ahsante mkuuSalamu ya heshima hiyo mkuu...
Mimi nakuheshimu sana sana....
Anhaa, sauti yake naipenda.Dada moja anaitwa Jessie Ware....
Kuna mwandishi anaitwa George Orwell kamuongelea kwenye Novel yake Nineteen Eighty-Four.Ahsante mkuu
Nakusubir ukanielezee kuhusu big brother
Jamaa tatizo lake ni GayNaielewa sana, hiyo ngoma...Sam is a genius!
Niko fresh shiro, vizuri kusikia umeamka poa pia,,Frshy kabisa, uko poa?
Huu umri wa kujifunza, sema kuna madogo wengine watundu sana, unamkataza hk, anashika kile yaani tabu tupu kwake ndo furaha yakeHalafu hapo kakivunja kanakuangali usoni kanacheka!
Hahahaha, umri huo siyo kabisa....!
Hahahaha, yeah timu pinzani huyo jamaa.Jamaa tatizo lake ni Gay
Ila anajua sana
Owk,,original yake pia?Sijausikia huu
English inanitoa ndugu yangu ndo maana nimekuja hukuKuna mwandishi anaitwa George Orwell kamuongelea kwenye Novel yake Nineteen Eighty-Four.
Hilo ndo tatzo,, khs kujua jamaa anajua sana toka Hit song yake ya kwanza,Jamaa tatizo lake ni Gay
Ila anajua sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko fresh shiro, vizuri kusikia umeamka poa pia,,
[emoji23][emoji23][emoji23] ninogeshe/niogeshe[emoji23]