MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Kuna kiumbe mmoja hapa, yeye akiona chochote kile mbele yake anasema YANGU NIPEE.Huu umri wa kujifunza, sema kuna madogo wengine watundu sana, unamkataza hk, anashika kile yaani tabu tupu kwake ndo furaha yake