Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot-2018-5-24 The Pirate Bay - The galaxy's most resilient bittorrent site.png
 
Pengine sisi tumekuwa na nguvu nyingi za kike kuwazidi nyie, hivyo kupelekea kutokujiamini na kuanza kuhaha haha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapo wazingatie tu milo yao na wachange life style yao.

siku izi Nguvu za kiume ni janga kubwa sana. cha kusikitisha hata wazazi hawatoi ushauri kwa watoto wao kuhusu madhara na nadharia za kuangalia Ponograph na kujichua badala yake wanatulia na kulinda heshima zao kama wazazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,, kuna wale kina mama anatoa kichapo kwa mtt hadi baba anaingilia, anaona huruma, basi hapo utasikia mama mtu anajibu huyu kazd sana ni vle ww hushnd nyumban [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], halafu nyie siku mkimchapa mtoto mama akiingilia kati Baba anamgombeza mama " wewe walemaze tu"
 
hapo wazingatie tu milo yao na wachange life style yao.

siku izi Nguvu za kiume ni janga kubwa sana. cha kusikitisha hata wazazi hawatoi ushauri kwa watoto wao kuhusu madhara na nadharia za kuangalia Ponograph na kujichua badala yake wanatulia na kulinda heshima zao kama wazazi.
Kwani muda huo mzazi anakuwa anajua kama kijana anajichua???
 
Kuna uzi umeitwa ukachukue barua yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Barua ya nini tena jamani??
 
Back
Top Bottom