Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

screen-KAV-01.png


CYGD2-PW1MG-RBF48-AWPEJ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], halafu nyie siku mkimchapa mtoto mama akiingilia kati Baba anamgombeza mama " wewe walemaze tu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Baba huwa hataki aingiliwe,tena mama akimzuia sana baba, kesi inaweza kumgeukia, "wew ndo unampa kiburi huyu mtt, huwa nakutzama tu unavyo mdekeza"[emoji23][emoji23]

Haya mambo bhna basi tu
 
Kwani muda huo mzazi anakuwa anajua kama kijana anajichua???
sio rahisi kujua unless kijana amwambie ila kama mzazi yakupasa utoe angalizo na elimu japo hujui ama huna hakika kama kijana ana angalia ponogarph au laa. vijana wanaobarehe wengi wao wanaingia kwenye janga hili la kupungukiwa nguvu za kiume sababu huwa wanahemkwa sana wanapoona Ponograph. na ndipo tatizo linapoanzia. zaman kulikuwa hakuna Smartphones tablet na midaharishi ndio maana tatizo hilo Halikuwepo
 
Back
Top Bottom